myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
18:53
Kumbe ngojea niende. VE capitalpool myoyambendi twendeni tukaone hizo awards KTWadau wa KT Ntolilo na kina Mrs Coco muende huko kuna Awards zimetolewa [emoji3]View attachment 1128367
😀😀😀
Nimeamua kuita kijiji kizima 😀😀
Huwa unawakumbuka sana wanakijiji wenzako niliingia juzi nikakuta tena umepiga mbiu kijijini 😀Nimeamua kuita kijiji kizima 😀😀
Sawa VEDah! Sijaingia huko kitambo. Ngoja nimalize mizunguko yangu nitapita huko VE.
nawajali sana wanakijiji wenzangu [emoji3][emoji3]Huwa unawakumbuka sana wanakijiji wenzako niliingia juzi nikakuta tena umepiga mbiu kijijini [emoji3]
Isijekua ni mbinu zako baadae ugombee wenyekiti wa kijiji 😀nawajali sana wanakijiji wenzangu [emoji3][emoji3]
King Mswati bana [emoji3][emoji3]Isijekua ni mbinu zako baadae ugombee wenyekiti wa kijiji [emoji3]