Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Still game one bro, tegemea makubwa hapo baadaeKuna mchezaji bora wa dunia na mchezaji bora wa barcelona!!!
Colombia[emoji2]
Still game one bro, tegemea makubwa hapo baadaeKuna mchezaji bora wa dunia na mchezaji bora wa barcelona!!!
Colombia[emoji2]
😂😂😂 taratibu nitafika TIA tena campus ya SingidaMzee mwenzangu,[emoji2][emoji2]
Umepigwa mkwara mzito na bro hadi umehama chuo,,,sasa hv ni UD na sio NIT tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkwara ujao,utasema Ardhi mzee baba
[emoji2][emoji2][emoji2]
Anatumia uhenga kama ngao ya kujilinda dhidi yenu vijana machachali kama wewe na Capitapoolha ha ha kwa kweli asee,huo uhenga kautolea wapi
Jamaa kakukumbusha sio?[emoji2][emoji2][emoji2]
Acha tusubiri broStill game one bro, tegemea makubwa hapo baadae
ha ha ha kwann TIA mzee?tena umejipendelea ya Singida??kuna Mwanza,Mbeya huko hujaona [emoji2][emoji2][emoji2],,Singida sio kuzuri bro[emoji23][emoji23][emoji23] taratibu nitafika TIA tena campus ya Singida
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona unavyokazia
Kwenye hao machachali,mimi sijafika huko,,kwa Capitapool hapo sawa[emoji2]Anatumia uhenga kama ngao ya kujilinda dhidi yenu vijana machachali kama wewe na Capitapool
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Jamaa kakukumbusha sio?
👊👊Acha tusubiri bro
😂😂😂😂 Singida kuna nini bro?ha ha ha kwann TIA mzee?tena umejipendelea ya Singida??kuna Mwanza,Mbeya huko hujaona [emoji2][emoji2][emoji2],,Singida sio kuzuri bro
Kwenye hao machachali,mimi sijafika huko,,kwa Capitapool hapo sawa[emoji2]
Singida ni faya bro,kuna jamaa yangu alipita pale,hata alipomaliza masomo yake jamaa hakutaka kurudi home tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Singida kuna nini bro?
hahaha aiseeTayari umefika bro sema tu hujijui kama umefika, siunajua tena Ukiwa msituni huoni misitu bali utaona miti tu