Safi sana bro vipi chimbo?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Salama lakini Bro?
😂😂😂😂 jamaa alikwama SingidaSingida ni faya bro,kuna jamaa yangu alipita pale,hata alipomaliza masomo yake jamaa hakutaka kurudi home tena[emoji23][emoji23]
Pamoja sana broNiwatakie asubuhi njema ndugu zangu!![emoji120][emoji120]
Chimbo ni poa bro,vipi kwa upande wako huko?Safi sana bro vipi chimbo?
Acha kabsa mzee,jamaa alifichwa kabsa,anadai kuna fursa nyingi kule,mara atake biashara ya alizeti,mara vitunguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa alikwama Singida
[emoji109]Pamoja sana bro
Na kwako pia bro.Niwatakie asubuhi njema ndugu zangu!![emoji120][emoji120]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Anatumia uhenga kama ngao ya kujilinda dhidi yenu vijana machachali kama wewe na Capitapool