Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mademu weupeeeee warefuuuuuuu waremboooooo halafu wamefungashaaaa !!!ha ha ha kwann TIA mzee?tena umejipendelea ya Singida??kuna Mwanza,Mbeya huko hujaona [emoji2][emoji2][emoji2],,Singida sio kuzuri bro
Asante sis [emoji1545][emoji1545]Happy Father's day kwa kina Baba wote humu [emoji8][emoji8]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].Kwenye hao machachali,mimi sijafika huko,,kwa Capitapool hapo sawa[emoji2]
Huku pia safi broChimbo ni poa bro,vipi kwa upande wako huko?
πππ dah noma sana bro, jamaa adi fursa ya Alizeti aliichungulia. Na wewe huko TA hukawii kuona MachungwaAcha kabsa mzee,jamaa alifichwa kabsa,anadai kuna fursa nyingi kule,mara atake biashara ya alizeti,mara vitunguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua kajaa kumbe mwisho kamkataa π
Watu kutapeliwa siku hizi wamejanjaruka....Nilijua kajaa kumbe mwisho kamkataa [emoji3]
ππHappy Father's day kwa kina Baba wote humu [emoji8][emoji8]
Happy Father's day kwa kina Baba wote humu [emoji8][emoji8]