capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Vita vyao visivyokoma je?Una faida kubwa kwetu, tuwapokee kwa mikono miwili ili kuimarisha biashara ya usafirishajiView attachment 1128928
Kwa nini unadhani imegeuzwa?Hiyo inayoonekana 9 ni 6 iliyogeuzwa...am I right?
Kwa sababu ukiangalia juu kiko tofauti na vitabu vingine maana yake upande unaoonekana kuwa wa juu ni wa chiniKwa nini unadhani imegeuzwa?