The problem is not Messi or the players. Arg main problem is their FA and the coaches they appoint. Since Sabella there has not been a proper or stable coach in their National team and average Job time is between 6-12 months which is not healthy. Instead of keep changing coaches they should have kept Sabella and built the team from there and I m sure if he was given the time required Messi already had won atleast one cup with Argentine. Instead they kept changing coaches till they reached world class Mr Scaloni who changes Aguero while his team is losing 1-0 and inserts Mr Suarez who I am sure even the Argentines dont know him properly and keep Dybala and Lauturo Martinez bench???!
Crystal Palace imemthamanisha kwa kiwango cha pauni milioni 50 mchezaji wa safu ya Ulinzi ya kikosi cha England cha vijana chini ya miaka 21 - Aaron Wan-Bissaka, ambaye angependa kuhamia Manchester United, lakini hajaonyesha msukumo wa kuondoka katika kikosi cha Palace. (Sky Sports)
Tottenham wameachana na mpango wa kutaka kumsajili kiungo wa klabu ya Lisbon, Bruno Fernandes, mwenye miaka 24, ambaye pia amekuwa akihusishwa na uhamisho kuelekea Manchester United. (Mail)
Manchester United wanaamini wanaweza kushinda kinyang'anyiro cha kumsainisha mkataba mlinzi Harry Maguire kwasababu ya kusitasita kwa Manchester City kulipa pauni milioni 80 za ziada kwa ajili ya kumchukua mchezaji huyo wa kimataifa wa England mwenye umri wa miaka 26. (Mail)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.