MSio Maneno yangu NI Maneno ya Bi Sandra, Mama Mzazi wa Almaarufu Dogo WA Mbagala, Diamond Platnumz
Bi Sandra Umetisher, sio Kwa Povu lile kwenye redio leo 😂😂😂
Wamama wa skuhizi tupo vizuri, tuna maneno ya kunyamazisha redio na Pupils 😂😂😂😂
"Akazae nje me Siuzi Uchi" 🙄😂🏃🤸🏃
Mabinti Bomba Oyeee 💃💃💃💃💃🏃🤸🏃
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimwondoa Bradha, waliobaki wote hapo ni pasua kichwa. Ni kuendelea kuwaombea sana kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
NakuonaaaaaaaaaDaah huyu jamaa kila kitu kwake kizuri mpaka love story yake sio yule mchezaji wa upande mwingine
Mie mwanzon nilidhan kijana ni robot[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ambaye sikumtarajia ni capitalpool, huu uzi ni kama tupo kampasi ya chuo fulani hivi cha kurekebisha mienendo ya zamani. Kijana alikuwa mpole sana, zaidi ya kutupia picha ilikuwa ni kutupia visegimenti vya kisiasa tena vile vya mbadala...
Namfuatilia kijana wangu,majuzi kati nikamkuta na limdada la kinyakyusa mitaa ya kati... Nikajisemea tu "nimepoteza kijana"...
Baadae nikajipa moyo, "mtoto wa kiume lazima apambanie heshima ya ukoo" hata ikibidi kufa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kabisa ni special sana huyu
#asiione hii Binti mpole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi kumbe tushafikisha mwakaWadau wa KT Ntolilo na kina Mrs Coco muende huko kuna Awards zimetolewa 😀View attachment 1128367
Hope my dear future wife hajaona hii 😬 😬 😬[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]