nicca frm nowhre
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 394
- 1,518
Shit iz happen bt life stll goes on
Asante sana shemeji. Kama akina baba tuna jukumu kubwa mno kwa wanetu. Wanasaikolojia wanasema kuwa ni afadhali mtoto akataliwe/atendewe mabaya na mama kuliko baba. Akikataliwa/akitendewa mabaya na baba yake, madhara yake ni makubwa mno katika maisha yake. Tunalo jukumu takatifu la kuhakikisha kuwa tunaacha mifano myema na tunaendelea kuishi kupitia kwa wanetu hawa siku tukiondoka.Amen.
Ahsante shemeji kwa kunikumbusha jukumu la kuwafundisha watoto upendo.Litamkwalo na mzazi(bila kujali ni pindifu au nyoofu) ndio mwongozo wa mfumo wa maisha ya mtoto hapa duniani.
Ni heri watoto wakatamani kuishi maisha kama ya wazazi wao kuliko kuyachukia malezi waliyo yapata toka kwa wazazi wao.
#hepifazazideishemeji
#niimaniyangukabintiketukatakuwakamekumwagiamabusuyakutosha
Tumtegemee Mungu kwenye kuwalea vijana wetu.
Ukimwondoa Bradha, waliobaki wote hapo ni pasua kichwa. Ni kuendelea kuwaombea sana kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]Amen[emoji120][emoji120][emoji120]
Waambie ningendako, Davet, Bradha na capitalpool kuwa amu wochingi zemu kulozili... Sijawasahau
[emoji23][emoji23][emoji23] siku hz hakuna haja ya kuwataja,,tushawafahamu
Huyu kafunga kazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Imagine Fragaria ndiyo awe humo ndani halafu kufumba na kufumbua utalii huu hapa mlangoni vu bin vu. Yaani sipati picha indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai endi Lucifer Orijino izi mai anaza nemu Amun Ra [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji23][emoji23]View attachment 1129274
Duh!![emoji23][emoji23]View attachment 1129274
You are the best Bro [emoji7][emoji7]. Andaeitini wote wanatakiwa kupata somo hapaAsante sana shemeji. Kama akina baba tuna jukumu kubwa mno kwa wanetu. Wanasaikolojia wanasema kuwa ni afadhali mtoto akataliwe/atendewe mabaya na mama kuliko baba. Akikataliwa/akitendewa mabaya na baba yake, madhara yake ni makubwa mno katika maisha yake. Tunalo jukumu takatifu la kuhakikisha kuwa tunaacha mifano myema na tunaendelea kuishi kupitia kwa wanetu hawa siku tukiondoka.
Kabinti kangu haka nimekazoesha breakfast in bed wakati wa birthday zote. Na kenyewe leo kamelipa fadhila. Kamenipikia na kuniletea kitandani scrambled eggs, chai, turkey bacon na orange juice. Pia nimepata kadi nzuri iliyosainiwa na marafiki wa kenyewe pamoja na vijisenti vichache hivi.
Mungu Aendelee kutupa maarifa na ufahamu ili tuendelee kutimiza jukumu la Mungu kwa wanetu hawa aliotupa. Hili ndilo jukumu letu kuu kuliko yote hapa duniani kama akina baba [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Big up bro[emoji109]Asante sana shemeji. Kama akina baba tuna jukumu kubwa mno kwa wanetu. Wanasaikolojia wanasema kuwa ni afadhali mtoto akataliwe/atendewe mabaya na mama kuliko baba. Akikataliwa/akitendewa mabaya na baba yake, madhara yake ni makubwa mno katika maisha yake. Tunalo jukumu takatifu la kuhakikisha kuwa tunaacha mifano myema na tunaendelea kuishi kupitia kwa wanetu hawa siku tukiondoka.
Kabinti kangu haka nimekazoesha breakfast in bed wakati wa birthday zote. Na kenyewe leo kamelipa fadhila. Kamenipikia na kuniletea kitandani scrambled eggs, chai, turkey bacon na orange juice. Pia nimepata kadi nzuri iliyosainiwa na marafiki wa kenyewe pamoja na vijisenti vichache hivi.
Mungu Aendelee kutupa maarifa na ufahamu ili tuendelee kutimiza jukumu la Mungu kwa wanetu hawa Aliotupa. Hili ndilo jukumu letu kuu kuliko yote hapa duniani kama akina baba [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante sis.You are the best Bro [emoji7][emoji7]. Andaeitini wote wanatakiwa kupata somo hapa
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109][emoji2936][emoji2936][emoji2936]Big up bro[emoji109]