Duh![emoji2][emoji1]furaha babas day.
mara ya mwisho kwa liverpool kubeba ubingwa wa ligi kuu bwana peter schmeichel alikuwa hajamzaa kasper schmeichel.
kasper smeichel amezaliwa, amenyonya, amebaleghe, amemjua mwanamke hatimaye amebeba ubingwa wa ligi kuu ya uingereza lakini bado liverpool hawajaweza kubeba ubingwa.
nichukue nafasi ya myoyambendi kwa muda, nataka niwape pole mashabiki wa liverpool
View attachment 1129069
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hepifazazidei mdogo wangu,najua wewe ni mpambanaji usiye sahau uliko toka.Mfanye kijana wako ajivunie kupita mikononi mwako kimalezi.
Kila lenye heri kwenye maisha yako[emoji120][emoji120]