Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kimemshinda kiswahili atakiweza kiarabu cha pwani,

umemuuliza mwenzangu ni mzima?
mpaka muda huu hajatoa jbu sahihi.
kiswahili kina maajabu yake,

mwenzangu ni mzima?
umekusudia mwanamke mwenzako anayemilikiwa na bwan rasta au umemkusudia rasta mwenyewe.

kupatwa kwa kiswahili

Wewe umeelewa kumbe GGMU
 
[emoji456][emoji456][emoji456][emoji456][emoji456] *GOOD NEWS: UMOJA WA MATAIFA AFRICA -AFRICAN UNION UMETANGAZA NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA KWA VIJANA WATANZANIA[emoji1241]*
*▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬*
*Wanahitajika Vijana Wa kufanya Kazi Maeneno haya*[emoji116][emoji116]

• Ofisi za Umoja wa mataifa Africa
• Mashuleni
• Hospitalini
• Maeneno ya Jamii
• Kuelemisha Jamii
• Vikundi vya Kijamii
___________________________________

*Fully Funded-UTALPIWA KILA KITU NA KULIPWA*[emoji383]

[emoji736] *Utalipiwa Usafiri Wa kwenda Eneo La kazi na Kurudi Nchini Kwako*[emoji574]

[emoji736] *Utalipiwa Gharama zote za Kuishi Kila siku*

[emoji736] *Utalipwa Allowances-Grants*[emoji383][emoji383]

[emoji736] *Utapewa Accomodation na Gharama zote za Malazi*

*Vigezo*:
• Umri Kuanzia Miaka 18
• Uwe Mtanzania[emoji1241]
• Uwe unajua Kingereza
• Uwe tayari KUSAFIRI[emoji574]

*Vijana Waliosomea Fani Hizi*

[emoji117] *EDUCATION*
[emoji117] *Kozi za Afya*
[emoji117] *IT,Computer Sciences*
[emoji117] *Kozi za Biashara na Ujasiriamali*
[emoji117] *Kozi za Kilimo*
[emoji117] *Kozi za Mazingiria*

*Deadline: June 30,2019*

*Bonyeza Link-APPLY ONLINE*
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]https://mchainanews.co.uk/fully-fun...-au-yvc-2019-for-young-african-professionals/

*▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬*
*WARNING[emoji724]: HAKUNA MALIPO YOYOTE YANAYOHITAJIKA KATIKA KUFANYA APPLICATION YAKO*

*SAIDIA KUSHEA TAARIFA HII MUHIMU IWEZE KUWAFIKIA WATU WOTE WANAOTAFUTA KAZI*[emoji1241][emoji1548]
 
Mfano bro anataka kuhakikisha kama imagination zake kuhusu Miss Frag ni za kweli lakini mpaka Leo hii ameshindwa kama world ingekuwa perfect asingekuwa ameshindwa mpaka wakati huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fraggy bana mtata sana. Siku moja pengine tutaweza kuthibitisha laivu. Tuendelee kuvumilia tu...
6e325f02-dc33-4f27-958c-1e33ada39805~2.jpeg
 
bro wa akina BROS wadogo unaendeleaje huko?
Tumshukuru Mungu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mimi sijambo kabisa. Happy Father's Day shemeji. Wakumbushe hao wapwa kuwa wana bahati kwa kuwa na baba kama wewe. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amen.
Ahsante shemeji kwa kunikumbusha jukumu la kuwafundisha watoto upendo.Litamkwalo na mzazi(bila kujali ni pindifu au nyoofu) ndio mwongozo wa mfumo wa maisha ya mtoto hapa duniani.
Ni heri watoto wakatamani kuishi maisha kama ya wazazi wao kuliko kuyachukia malezi waliyo yapata toka kwa wazazi wao.
#hepifazazideishemeji
#niimaniyangukabintiketukatakuwakamekumwagiamabusuyakutosha
Tumtegemee Mungu kwenye kuwalea vijana wetu.
 
Mfano bro anataka kuhakikisha kama imagination zake kuhusu Miss Frag ni za kweli lakini mpaka Leo hii ameshindwa kama world ingekuwa perfect asingekuwa ameshindwa mpaka wakati huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hepifazazidei mdogo wangu,najua wewe ni mpambanaji usiye sahau uliko toka.Mfanye kijana wako ajivunie kupita mikononi mwako kimalezi.
Kila lenye heri kwenye maisha yako[emoji120][emoji120]
 
Happy Fathers Day Ndugu yangu najua maeneo hayo hakuna kinacho kwenda ndivyo sivyo, naamini vijana wanajivunia baba yao Mungu azidi kukupa nguvu na Afya ya kuwatunza [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
 
Happy Fathers Day Ndugu yangu najua maeneo hayo hakuna kinacho kwenda ndivyo sivyo, naamini vijana wanajivunia baba yao Mungu azidi kukupa nguvu na Afya ya kuwatunza [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Amen[emoji120][emoji120][emoji120]
Waambie ningendako, Davet, Bradha na capitalpool kuwa amu wochingi zemu kulozili... Sijawasahau
 
Back
Top Bottom