Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kitambo hicho
2003322.jpeg
 
kimemshinda kiswahili atakiweza kiarabu cha pwani,

umemuuliza mwenzangu ni mzima?
mpaka muda huu hajatoa jbu sahihi.
kiswahili kina maajabu yake,

mwenzangu ni mzima?
umekusudia mwanamke mwenzako anayemilikiwa na bwan rasta au umemkusudia rasta mwenyewe.

kupatwa kwa kiswahili
Itabidi akiweze tu hana namna!
 
Back
Top Bottom