Photoshop...Mtoto aliyevaa nguo ya pink amependeza sana[emoji23][emoji23]View attachment 1129363
I am with you bro...
No skinny girls evaaa !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu hili li Alexus hili dah. Miksa ya Danish na Black matata sana. Wakati natunza mafaili ya CHAWAMITA lilikuwa bado lidogo halafu unene wa kawaida tu. Sasa limefutuka na kuwa full BBW yaani mpaka raha !!!
View attachment 1129369
Create an account or log in to Instagram - Share what you're into with the people who get you.www.instagram.com
Happy Fathers Day to Every Father
View attachment 1129158
Huyu kijana mpeni muda. Atapoa tu hatimaye na tabia ya ukokoro itaisha [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ambaye sikumtarajia ni capitalpool, huu uzi ni kama tupo kampasi ya chuo fulani hivi cha kurekebisha mienendo ya zamani. Kijana alikuwa mpole sana, zaidi ya kutupia picha ilikuwa ni kutupia visegimenti vya kisiasa tena vile vya mbadala...
Namfuatilia kijana wangu,majuzi kati nikamkuta na limdada la kinyakyusa mitaa ya kati... Nikajisemea tu "nimepoteza kijana"...
Baadae nikajipa moyo, "mtoto wa kiume lazima apambanie heshima ya ukoo" hata ikibidi kufa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie mwanzon nilidhan kijana ni robot[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]