Nawezaje kupata mpenzi( mwanamke) mwenye umri mkubwa ila siyo mke wa MTU na anipende kwa dhati????
KhaaaaWeye una umri ngapi? Uko tayari kuchukua mwanamke mwenye kuanzia miaka 70 kwenda juu? Unajua kuhonga? Mara ya mwisho ulihonga ilikuwa lini na ulihonga kiasi gani?
Khaaaa
Na mimi nimeandika comment kuhusiana na maswali yako [emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si nimeuliza maswali kuhusiana na bandiko lake!? Kwani ni aje? [emoji12]
Na mimi nimeandika comment kuhusiana na maswali yako [emoji13][emoji13]
Sisi wazee tunajua kulea hulifahamu hilo? [emoji13][emoji13]Nimekupata ila nilisahau swali moja kwanini anapenda wa umri mkubwa kuliko wa rika lake? Bila shaka umri mkubwa aliomanisha ni wakubwa kuliko yeye.
Sisi wazee tunajua kulea hulifahamu hilo? [emoji13][emoji13]