Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Wanaume wa Mbozi waache uboya, Ebo#HABARI Baadhi ya wanawake Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamedai wataendelea kuwapiga waume zao, endapo hawatatimiza majukumu ya kifamilia, baada ya wanaume kudaiwa kukimbia familia zao ikifika wakati wa mavuno. Hivi karibuni Mbozi kulizuka madai ya wanawake kuwapiga waume zao