21:20
Duniani hapa hakuna haki...
View attachment 1130219
Tumbusi watumbua huku wakitumbuliwa kila kukicha...
View attachment 1130235
Aiseee...
View attachment 1130254
Liverpool wameingia kwenye kinyang'anyiro cha kufukuzia saini ya kiungo wa klabu ya Besiktas na Uturuki, Dorukhan Tokoz, 23. Tayari ofay a klabu ya Udinese ya Italia ya kutaka kumsaini kiungo huyo imekataliwa na Besitkas. (Fotomac - in Turkish)
Iwe siku ya amani na upendo
Usiku unakua mkubwa
Jamani nakufa
Kwa herini ndugu zangu