Aisee...Jamii ya Siafu 🐜 imegawanyika makundi 3 ; Malkia👸🏾 , wanawake💃🏽 na wanaume🏃🏼.
Duh!!Jamii ya siafu yenye utawala wa malkia👸🏾💪🏾 mwenye nguvu hupanuka na kufikia hatua ya kupigana🔫💣⚔ na jamii nyingine za Siafu na kuwateka mateka 😭😭😭😰na kuwatumikisha😡.