Yes,na baada ya huyo jamaa kumuoa huyo dada,wakaishi vizuri tu,tena hadi ikawa ni couple ya kuigwa,jamaa kaongeza mke na bado mke mkubwa yupo poa tena hana kinyongo kabsa
Basi bhana,kutokana na couple hyo kuwa ya kuigwa kila sehem tokana na maisha wanayoishi wakafungua youtube channel,wakionesha jinsi wanavyoishi,wakiuonesha uislamu wao,kifupi ni kuwa ile channel ikawa mahususi kwa ajir ya maisha yao ndoa hasa ya uke wenza,waakanza kupata michango kutoka kwa supporters mbalmbali,,,
Juzi kati watu wakazama deep na kuibuka na haya kuwa huyo bibie(wa katikati,aliyevaa nikabu,ambaye ndio mkubwa,aliyemshawishi bwana wake amuongeze huyo bibie wa pembeni hapo)kuwa anaishi double life,yan licha ya kuonekana ni mke anayefata misingi yote ya dini yake bado pia IG model,na huko kwenye hyo account yake ya IG ndio kumejaa vitu kibao anavyopost visivyokuwa na maadili na havifai kuigwa hata kidogo,,,
Kwani vielelezo vyote watu wameka wazi vitu anavyopost kule kwenye acc yake ya IG ya umodel vinashabiana kabsa na kwenye hzo account zake za youtube na kwingineko kote
Unaambiwa ndoa imekuwa ngumu,hata zile support walizokuwa wanazipata toka kwenye youtube channel zmekata ghafra
#Mafyekerohadiulaya