Yaani hadi umereply hapa nimeamini ulisoma yote.hahahahahahahMi niliishia kusoma kwenye "walishafariki wote.."
Uzi huu utauweza bro?
Na huyo anayeongelewa ni nani?
Nini kinaongelewa?
Kile kidole mlikua mnanisingizia kwamba nakula kucha nadhani mshajua sababu sasa😀😀😀Sijui niseme ni ningendako au Davet au Bradha [emoji23][emoji23] basi aah nimemsahauje poti Yegomasika View attachment 1130967
Dogo amefanyiwa upembuzi yakinifu.Dogo alikuwa bingwa wa kuporomosha matusi na kutoa vitisho mtandaoni zamani. Harvard wameona hizo post zake a zamani akitukana niggers na kutoa vitisho vingine wamemfutia admission na scholarship yake.
Maandaeitini hawa ukiwaambia kuwa kuweni waangalifu na hii mitandao wanakuona eti mhenga umepoteza dira. Sasa hata waajiri wengi wanataka kuona profiles za FB, IG na twitter za waomba kazi. Kuporomosha matusi mitandaoni na kutishia watu mbele ya kiibodi itawaletea matatizo maandaeitini wengi hasa huko mbele ya safari.
View attachment 1130950
toa nawe upateMbn me like Mpaka time hii sijaona atiii
Wewe likes za niniMbn me like Mpaka time hii sijaona atiii
Siko hapa kuwafundisha watu kutokutumia kondom lakini nasema, muda umepita wa kujitumbukiza kwenye mtego ka huu. Siku ukilogwa ukajikuta umetumbukiza tu bila mpira tayari ndo siku mawazo yako yatakuua.
Thru experience;
Mi ni msajili wa ndoa. Sheria inaamuru kuwa tusiwafungie ndoa ambao hawana vyeti vya kupima HIV tena mara 3 yaani kipindi kisichopungua miezi 6.
Kwa kusimamia sheria hii, nikaamuru vijana waende kupima.
Bahati mbaya sana, kijana yule me akaonekana analo. Wakaondoka na kusema ati miye ndo nilienda kufitini aandikiwe kuwa + ili asifungiwe ndoa. OK, wakaamua wenyewe kwenda hospitali nyingine tena mji mwingine mbali nisipo wala julikana. Kupima, kijana akaonekana +. Kelele na chuki zikazidi kwani niliwaamuru walete majibu ya barua yangu nilio wapa ya kwenda kupima.
Wakazidi kunipakazia kuwa nina mpango wa kum do yule binti. Sawa, wakaenda mbali mbali zaidi, wakapima, jamaa akaambiwa analo. Duh! Binti akafunguka akili, akasema kiongozi hajawahi kusikia kuwa tunakuja huku, hivyo sababu yako kuwa ananitamani haina mashiko. Akauvunja uchumba. Jamaa kwa hasira akaenda akamtwaa binti ambaye amekaa sana bila kuolewa, akamua waoane bila kufunga ndoa.
Mambo yakawa mazuri, binti ameshazaa watoto 4 wala hakuna aliye dhurika. Je ni vipimo vilikuwa vibovu au ni mimi nilikuwa nawafuatilia kuwa haribia maisha yao?? Nasema, unavyo amini ndivyo utakuwa. Ukiamini umeukwaa itakuwa hivyo. Tujifunze kuamini Positively kuwa "Sina ukimwi" itakuwa hivyo
Ndio maana nikasema kwamba kutokana na ufeki wa ugonjwa huu kuna mikanganyiko mingi sana,we mwenyewe umejionea au kusikia kama ulivyoeleza hapo juu.Maneno yako hapo juu hata wenyewe wanakubali kwamba si rahisi mtoto kuambukizwa na wametoa asilimia 98% kama mama atakula ARVs na 75% kama mama hatakula ARVs kuonesha uwezekano wa mtoto kuepuka maambukizi haya ambayo mimi kwangu ni feki.Hongera kwa kuhoji hilo,maana kujihoji ni mwanzo wa kuelewa ukweli.
Unajua mkuu,hawa jamaa wanajua hii ndio starehe ya watu wengi,na ndio maana wameng'angania kwamba unaambukizwa kwa njia hii kwa kuwa kila mtu akiambiwa anao atakuwa na uwezekano mkubwa kwamba alishawahi kufanya ngono hivyo hata mtu mwenyewe hatapinga akiambiwa kwamba anao.Mkuu wewe furahia maisha tu,wasitufanye tuwe watumwa wa asili yetu.Wanajifanya hao ndio miungu,tumeshabaini ukweli na tuko huru.
Hata ukiwa na manjonjo ya aina gani,fanya mbwembwe zote unazozijua duniani kwenye ngono,huwezi kupata ukimwi/VVU.Kuonekana kwamba una VVU ni matokeo ya vipimo feki na si kwamba kweli una VVU.VVU hayupo kiuhalisia hivyo basi ukimwi hausababishwi na VVU.Fuatilia vizuri post zangu utaelewa au watu kama mavado wanaweza kukusaidia pia.Ukijua sayansi inayotumika katika vipimo vya VVU utajua ukweli uko wapi.Na ndio maana niliwahi kusema kwamba,ukitaka ukimwi uishe,basi watu wasijitokeze kupima VVU,au wagome kabisa kupima VVU na badala yake mtu akiumwa apimwe ugonjwa wake halisi tu na kupewa tiba halisi kama zamani,hapo ukimwi utakuwa umeisha.Lakini kwa kampeni hizi feki za kutuonesha kama vile wanatupenda saaaana na wanajali saaaana maisha yetu,watu watapimwa VVU na vipimo feki,wataonekana VVU+ na hatimaye watapewa dawa za ARVs ambazo ndio hasa zinazosababisha ukimwi kwa wanaozitumia halafu tunamsingizia VVU.Ukijua mtego huu basi utakuwa umejikomboa na janga hili.Njombe wanaongoza kitakwimu kwa VVU/Ukimwi kwa sababu wanajitokeza sana kupima VVU,hawaogopi kupima na kuchukua majibu,hii ndio sababu kubwa na hamna sababu nyingine,lakini kwa mtu anayechukulia mambo kiurahisi hataelewa ninachosema,labda watu kutoka njombe waje kuthibitisha wenyewe hapa.
Poa ila ndo nini tunafanyiana sasa😕Mambo yako?
Nini Tena jamani Coco ? Hebu sema vizuri nielewePoa ila ndo nini tunafanyiana sasa😕
Si ndio mpaka nikumiss ndo ukuje?!Nini Tena jamani Coco ? Hebu sema vizuri nielewe
Nikija unakuwa haupo naamua kusepa.Si ndio mpaka nikumiss ndo ukuje?!
Hii ni kubwa sana kwangu, Mungu atuepushie mbali hiki kikombe.Bro kasema hio sio ligi yako ati wewe upo huku kwenye ligi kubwa kubwaView attachment 1131399