Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1560820533116.jpeg
 
Dogo alikuwa bingwa wa kuporomosha matusi na kutoa vitisho mtandaoni zamani. Harvard wameona hizo post zake a zamani akitukana niggers na kutoa vitisho vingine wamemfutia admission na scholarship yake.

Maandaeitini hawa ukiwaambia kuwa kuweni waangalifu na hii mitandao wanakuona eti mhenga umepoteza dira. Sasa hata waajiri wengi wanataka kuona profiles za FB, IG na twitter za waomba kazi. Kuporomosha matusi mitandaoni na kutishia watu mbele ya kiibodi itawaletea matatizo maandaeitini wengi hasa huko mbele ya safari.
d55a6cbb-a7d1-4f09-8a49-c4a221f68ae9.jpeg
 
Back
Top Bottom