capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
[emoji818][emoji818]
Poleni wasafiri wote
Poleni walezi wetu nyumbani
Poleni wagonjwa wote
Mungu awaponye
wazungu hawana stress za maisha ndio maana muda mwingi wanautumia kufanya tafiti ambazo kiupande wetu walalahoi tunazichkulia kama ni tafiti za kifala.
ina maana hizi jamii za siafu zipo nyingi zaidi ya jamii za kunguni wanyonya damu?
Kwani una tatizo?nimesikia kama ukitafunwa na siafu bichwa 100 tatizo la nguvu za kiume au nguvu za kike linaondoka.
je kuna ukweli wowote?
nataka nikajiweke kwenye muembe wetu uliojaa siafu bila ya nguo
View attachment 1130846
upo sahihi, kwa nini nidanganye haliyakuwa utafiti umeshaweka wazi ya kwamba asilimia kubwa ya wanaume wa Tanzania wana matatizo ya nguvu za kiume.Kwani una tatizo?