D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
wazungu hawana stress za maisha ndio maana muda mwingi wanautumia kufanya tafiti ambazo kiupande wetu walalahoi tunazichkulia kama ni tafiti za kifala.Kuna jamii za Siafu duniani zaidi ya 120000, ajabu ni kwamba Siafu anaweza kubeba💪🏾 mzigo mzito mara 20💪🏾 zaidi ya uzito wake mwenyewe.
ina maana hizi jamii za siafu zipo nyingi zaidi ya jamii za kunguni wanyonya damu?