Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455919994_320182.jpeg
 
Huwezi kuhama Usukumani wewe. Ngoma za akina Bhudagala laivu utazipata wapi huko Singida? Wasiliana na King Dave akupe mbinu za kujinasua (kama kweli yeye aliweza kuondoka MZA) [emoji16][emoji16]
Ni kweli bro,huku sihami wala nini,naweka kambi kabsa[emoji2][emoji2][emoji2]
Huku kwema bro. Vipi huko? Akina Bhudagala wanasemaje?
Huku kwema pia,kina Bhudagala wako poa kabsa,,kwa ukarimu huu wa kina bhudagala sihami huku,wakarimu wa kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli bro,huku sihami wala nini,naweka kambi kabsa[emoji2][emoji2][emoji2]Huku kwema pia,kina Bhudagala wako poa kabsa,,kwa ukarimu huu wa kina bhudagala sihami huku,wakarimu wa kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti wakarimu wa kila kitu. Wamekuwa Wahaya? [emoji2221][emoji2221]
 
Back
Top Bottom