Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sizitaki Mbichi Hizi
View attachment 1131721
Hatari sanaMagofu tupu mpaka leo bado kunafukuta japo wanyama wamesharudi katika mapori ya karibu. Na bado kutaendelea kufukuta kwa mamia na maelfu ya miaka huko mbele ya safari...
Ni kweli bro,huku sihami wala nini,naweka kambi kabsa[emoji2][emoji2][emoji2]Huwezi kuhama Usukumani wewe. Ngoma za akina Bhudagala laivu utazipata wapi huko Singida? Wasiliana na King Dave akupe mbinu za kujinasua (kama kweli yeye aliweza kuondoka MZA) [emoji16][emoji16]
Huku kwema pia,kina Bhudagala wako poa kabsa,,kwa ukarimu huu wa kina bhudagala sihami huku,wakarimu wa kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23]Huku kwema bro. Vipi huko? Akina Bhudagala wanasemaje?
Kwema bro,salama huko?Tupo mkuu majukumu yanabana,
Vipi kwema
Asee,hatari sanaMagofu tupu mpaka leo bado kunafukuta japo wanyama wamesharudi katika mapori ya karibu. Na bado kutaendelea kufukuta kwa mamia na maelfu ya miaka huko mbele ya safari...
Eti wakarimu wa kila kitu. Wamekuwa Wahaya? [emoji2221][emoji2221]Ni kweli bro,huku sihami wala nini,naweka kambi kabsa[emoji2][emoji2][emoji2]Huku kwema pia,kina Bhudagala wako poa kabsa,,kwa ukarimu huu wa kina bhudagala sihami huku,wakarimu wa kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah,,kwenye kubwa kuliko mzee alikuwa na tabasamu full kanakwamba hajui kama kachafua hali ya hewa mitaa ya msimbaz
Kwema bro,salama huko?