Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

D9ew0CuXUAAYRPY.jpg


#PediBilaKodi
 
Utunzaji wa ngozi ni suala linalopaswa kutiliwa mkazo, hasa ikiwa mhusika anapenda kuonekana mwenye ngozi inayovutia siku zote.Wakati wa mchana ni jambo la kawaida, kuona watu wakihangaika kuoga, kunawa na hata kupaka vipodozi mbalimbali, ili kufanya ngozi zao ziwe tofauti na ilivyozoeleka.
 
Katika usafi huo, unatakiwa kuanza na miguu yako, ambapo kwa kawaida si mara nyingi wengi huzingatia hili.
Chukua beseni la maji ya uvuvugu, kisha weka chumvi kiasi ingiza miguu yako kwa muda usiopungua dakika 15.
 
Back
Top Bottom