Asiye mwana aeleke jiwe
Chonkaaa🤔 MtulekeleNshomile orijino
Kadri siku zinavyoenda Azam Tv inazidi kukosa Vipindi vya kutufaa sisi Wengine
Binafsi huwa napenda kwa siku nisikose muda wa kuangalia kinachojiri duniani. So huwa jioni nikirudi toka job, nikaoga,nikanywa juice au maziwa nakaa sebuleni naangalia al jazeera,bbc,dw,rt,voa n.k wakati huo nmekaa kwenye lile coach/sofa la kivivu la kunesa nesa. Mbele nacheck kwenye screen...www.jamiiforums.com