10. Nemanja na Uros Matic - Euro 47.7 milioni
Man United ilimnunua kiungo mkabaji Nemanja Matic kutoka Chelsea kwa ada ya Euro 44.7 milioni. Uros Matic, ndugu yake Nemanja kwa upande wake kwa sasa anakipiga huko Copenhagen, ambayo ilimnunua kutoka Sturm Graz kwa Euro 3 milioni na hivyo kufanya ndugu hao huduma zao kugharimu Euro 47.7 milioni.