KWENYE Big Six ya Ligi Kuu England, timu tano tu ndizo zinazoruhusiwa kusajili kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi baada ya Chelsea kupigwa marufuku kufanya hivyo.
Kuhusu pesa, timu hizo za Ligi Kuu England halijawahi kuwa tatizo kwao kwenye kufanya matumizi ya mastaa wake wapya kwa ajili ya kuboresha vikosi vyao.
Katika suala la usajili, usishangae kuona mastaa hawa watano wakinaswa na wababe hao wa Big Six kwenye Ligi Kuu England dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi huko Ulaya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.