capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Hahaha,kabla ya kupiga mateke,abebe mizigo kwanza
Kwema bro? King Davet kapotelea wapi? Ni maandalizi ya UE yamepamba moto au ni zile shughuli zake za kunyang'anywa nywila kaziendekeza tena?Hahaha,kabla ya kupiga mateke,abebe mizigo kwanza
Kwema bro!habari ya uzima?Kwema bro? King Davet kapotelea wapi? Ni maandalizi ya UE yamepamba moto au ni zile shughuli zake za kunyang'anywa nywila kaziendekeza tena?
Tumuombee uzima King...Kwema bro!habari ya uzima?
King Mswati simpati kabsa,kuelekea UE pia kumepamba moto,hope weekend hii atakuwepo