Hawa si ndiyo klabu yenye pesa ikifadhiliwa na bilionea? moudgulf njoo utoe ufafanuzi hapa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kambi yao hiiView attachment 1133433
Kweli....*Siku moja chukua CV yako, Kisha angalia sehemu ya REFEREE wako, Wapigie simu jifanye kama wewe ni Mkurugenzi wa Kampuni fulani, unataka kujua kuhusu wewe, sasa unataka kumuajiri " SENSITIVE JOB" usikie Maoni yao.*
*Unaweza kukuta Mchawi wa Maisha yako yupo kwenye CV yako.*
*Utanishukuru Baadae*
[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]