Pana pendeza.
🎶I am not the kind of girl who gives up just like that.. ooh no🎶
Kijana yupi ameshazoea Fraggy?Heee! Kijana ashazoea sasa huyu!
Yes,ipo vizuriNzuri?
Kuna kijana anaona Wahenga wabichi bado...Kijana yupi ameshazoea Fraggy?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],huyu bado anadai mbonaKuna kijana anaona Wahenga wabichi bado...
Vipi tena Kg..
wimbo wao unaoitwa eternal flame niliupenda sana, hili group bado lipo au wameshagawana mbao?
Kwa upole wako sis wewe haya mambo huyawezi. Haya ni mambo ya Wazaramo haya [emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa bwana .. kwani mi nna usemi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],huyu bado anadai mbona
Hahaha,unanipa baraka kedekedeSawa bwana .. kwani mi nna usemi?
Mi nashukuru Mungu.. Wkend baridi tu huku nilipo..Hahaha,unanipa baraka kedekede
Habari ya uzima Fraggy?weekend vipi huko?