Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

b8d9e219-3124-4d12-a0a8-edc14a227848.jpeg
 
Hakifai...

Nikikionaga kwenye show ya aina yo yote ile siangalii. Inasikitisha kuona weusi kwa wenyewe wanatumiwa kumalizana wenyewe kwa wenyewe. Pamoja na kwenda jela lakini Tyson ilibidi akalipe mamilioni ya dola. Na baadaye kakawa kanawaambia marafiki zake kuwa hakakubakwa bali kalipigwa mchongo na majamaa akiwemo Don King ili kumwangamiza Tyson...
Inasikitisha na kuuma sana asee

Sikuwa najua kama alihusika moja kwa moja kwenye kumfilisi Mike Tyson,kama ni hvyo hafai hata kidogo
 
Hata hivyo, wanasayansi hawafikirii kuwatumia kome ili kutengeneza gundi hiyo inayonata sana, Mfano Ili kutengeneza gramu moja tu ya gundi hiyo, kome 10,000 watahitajiwa, Kwahiyo iwapo njia hiyo ingetumiwa ili kutosheleza mahitaji ya ulimwengu ya gundi, kome wote wangemalizika, na tayari jamii nyingi zimo hatarini.
 
Badala yake, watafiti wa Marekani wametenganisha na kutokeza chembe nyingine za urithi ili kupata protini tano za kome zinazofanyiza gundi. Hivi karibuni watazitokeza kwa wingi katika maabara ili ziweze kujaribiwa viwandani.
 
Pia, wanasayansi wa Uingereza wanafanya utafiti kuhusu mojawapo ya protini hizo za gundi. Hata hivyo, bado kome amewashinda. Ni kome tu ajuaye mchanganyiko sahihi wa protini unaoweza kushikamanisha vitu mbalimbali. Frank Roberto, mwanabiolojia wa molekuli, aliuliza hivi kwa kustaajabishwa: “Je, mtaweza kweli kuiga jambo hilo?”
 
Mfagiaji

Kome hula kwa kuchuja maji. Katika jamii nyingi za kome, kila kome huingiza lita kadhaa za maji mwilini kila siku na chakula, oksijeni na vilevile vichafuzi kama bakteria zinazodhuru na kemikali zenye sumu huchujwa. Kome husafisha maji vizuri sana kwa kutumia uwezo huo.
 
Pia, wao hutumiwa kujua kimbele iwapo maji yamechafuliwa. Kwa mfano, mamia ya kome wameingizwa baharini karibu na eneo la Ekofisk lenye visima vya mafuta, karibu na pwani ya Norway. Kila baada ya miezi kadhaa, wanasayansi huwaondoa kwenye maskani yao na kupima kiasi cha uchafu ulio ndani ya magamba yao ili watambue iwapo kemikali zinazoingia baharini zinawadhuru viumbe wanaoishi humo.
 
Tangu mwaka wa 1986, kome na chaza wametumiwa katika Mradi wa Mussel Watch kwenye sehemu za pwani na za bara katika Amerika Kaskazini. Watafiti hujua iwapo kuna mabadiliko yoyote katika ubora wa maji kwa kuchunguza chaza hao kila mwaka kuona kama wamemeza kemikali. Chaza hao wana faida kubwa kama nini!
 
Kome huyo mdogo sana hupatikana hasa mashariki mwa Ulaya. Yamkini aliingizwa Amerika Kaskazini kiaksidenti katikati ya miaka ya 1980 wakati meli moja iliyokuwa ikivuka bahari ya Atlantiki ilipomwaga maji yanayofanya meli iwe thabiti.
 
Tofauti na kome wengine, idadi ya kome aina ya zebra imeongezeka sana katika yale Maziwa Makubwa na milango-bahari iliyo kando yake na kusababisha hasara ya mamilioni ya dola kwa kuziba mabomba ya maji na kufanyiza magamba kwenye mashua, magati, na madaraja. Pia, kome huyo amepunguza idadi ya jamii nyingine kadhaa za kome zinazopatikana hasa katika eneo hilo.
 
Back
Top Bottom