Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Putin tayari keshachimba mkwara kwamba US watapata taabu sana. Anasema ana kombora ambalo shield ya Waisraeli na Wamarekani haiwezi kulizuia na kwamba Mido Isiti nzima itawaka moto...
Akina Ann Coulter, Rush Limbaugh na group zima wamemchimba mkwara kwamba akianzisha vita anaweza asishinde uchaguzi 2020. Aliahidi kuiondoa Marekani vitani na kurudisha wanajeshi wote nyumbani na si vinginevyo. Akitaka kushinda kirahisi wamemwambia afunge mpaka na Mexico na atimize ahadi ya kuwasomba wakimbizi wote kuwarudisha makwao kama alivyoahidi wiki hii. Naona amewasikiliza. Bolton si ajabu kanuna balaa...
Bolton na Lindsey Graham watakuwa wamenuna vibaya! Wale Waajemi ni hatari sana, zana zao nyingi wanatengeneza wenyewe halafu wana mute, hakuna mwenye uhakika na kile walichonao wao!