Na kadiri watu wanavyokataa watoto wao wapewe chanjo hiyo muhimu ndivyo hatari ya kupata ugonjwa wa kupooza inavyowakabili.
"Nikibisha mlango wa mtu, huwa sina uhakika nitapokelewaje," anasema Khan.
Shirika la Afya Duniani WHO, limetoa taarifa kuelezea hofu yake kuhusu juhudi za taifa hilo kupiga vita polio likionya kuwa hali sio shwari.