Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

447804889_158390.jpeg
 
 
Asipokufa hatarudia tena...

Atubu dhambi hiyo kubwa, Amrudie Mungu na kila kitu kitakuwa sawa..
 
Na Putin akishatia neno jamaa huogopa kufanya uonevu wao.

Putin tayari keshachimba mkwara kwamba US watapata taabu sana. Anasema ana kombora ambalo shield ya Waisraeli na Wamarekani haiwezi kulizuia na kwamba Mido Isiti nzima itawaka moto...

Akina Ann Coulter, Rush Limbaugh na group zima wamemchimba mkwara kwamba akianzisha vita anaweza asishinde uchaguzi 2020. Aliahidi kuiondoa Marekani vitani na kurudisha wanajeshi wote nyumbani na si vinginevyo. Akitaka kushinda kirahisi wamemwambia afunge mpaka na Mexico na atimize ahadi ya kuwasomba wakimbizi wote kuwarudisha makwao kama alivyoahidi wiki hii. Naona amewasikiliza. Bolton si ajabu kanuna balaa...
 
Back
Top Bottom