Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Trump Approves Strikes on Iran, but Then Abruptly Pulls Back.
Duh! sawasawa...
Mh! sijui kama hili litafanikiwa muda huo..
Likes kwa postiHaya like nikuadd😀
Duh!A Woman Named Marijuana Pepsi Refused To Change Her Name, But Added 'Dr.' To It Just To Make The Haters Come Correct
👍 👍Sema PowellView attachment 1132984
Duh! kucha hizo...
Aisee...Ndiyo kunakucha. Kila mmoja wetu akawe na siku njema na yenye mibaraka [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1133028
Ukivurugwa na ukawa huna utamaduni wako katika dunia hii ni kizungumkuti. Jamaa yaani wapo wapo tu masikini hawana mbele wala nyuma. Hatuchekani nao kwa sababu hata sisi japo tuna utamaduni wetu lakini tunaudharau na hatutaki kutangamanishwa nao...
Putin tayari keshachimba mkwara kwamba US watapata taabu sana. Anasema ana kombora ambalo shield ya Waisraeli na Wamarekani haiwezi kulizuia na kwamba Mido Isiti nzima itawaka moto...Ngoma nzito hii! Iran atarusha madude yake Israel haitakalika!