Haikuhusu. Mute [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante mkuu. Na kwako na wapendwa wako pia ikawe hivyo [emoji1545][emoji1545]Good morning everybody here!! I wish you best of Luck on this day!!
Bumunda hilooooooo [emoji817]
Amekuwa mzee mara hii?si mlisema ana 25 yrs,bado kinda kabsa[emoji2]Kizee cha kufumania nyavu kilichowafunika vijana View attachment 1132980View attachment 1132981
Mtoto wa BabaMkuu naomba kile kitabu cha THE OTHER SIDE OF MIDNIGHT by Sydney Sheldon... Nilidownload ulivyoniwekea kule kwenye Uzi wa jf usiku wa manane kikawa hakifunguki naomba ujaribu tena kuniwekea hapa kama hutojali
[emoji120][emoji120]Mtoto wa Baba
Davet
Capitalpool
Nimeweka tena hiki kitabu kwa kutumia PC. Nijulisheni kama safari hii mnaweza kukishusha kwa kutumia PC au simu. Ikishindikana sasa itabidi tutumie emails...Kwenye TECNO yangu kinaonekana vizuri tu na nimeweza kuishusha attachment bila tatizo...
View attachment 1133026
Hebu fanya testing kama kinakubali bro (hata kama hukihitaji) wakati bado nipo online.[emoji120][emoji120]