Bila shaka, sisi hula kome fulani wa baharini pia! Kwa karne nyingi, watu wamefurahia kula nyama laini ya kome yenye lishe, inapopikwa kwa njia mbalimbali.
Biashara ya kuvua kome hufanywa na mashirika makubwa-makubwa ulimwenguni pote, ingawa katika nchi fulani za Ulaya kungali kuna makampuni madogo-madogo yanayofanya biashara hiyo.
Tahadhari: Ikiwa unapanga kula chakula hiki kitamu, hakikisha kwamba chaza utakaotumia wametoka mahala panapoaminika, na usiwakusanye kutoka ufukoni isipokuwa uwe na hakika kabisa kwamba maji hayajachafuliwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.