Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
hela inatumika kama karata..?? au in kwamba wanagawana baada ya mahangaiko ya kimaisha??ππIpe maelezo hii picha...
View attachment 1134646
Siyo kweli...hela inatumika kama karata..?? au in kwamba wanagawana baada ya mahangaiko ya kimaisha??[emoji16][emoji16]
Chura ya Mwanamme ya nini sasa?
Mambo yote mbele...
Eyes, kidevu, sauti, mikono.. etc[emoji6]
bila shaka hiyo ni mahari, maana huku ndani ya Afrika yetu jinsia ya kike mara nyingi inawekwa mbali sana kwenye mambo kama hayaSiyo kweli...
Wazee hao tena katika mazingira hayo, na wanawake wamekaa kwa mbali huko wakishuhudia haiwezi kuwa karata au mgawanyo wa hivi hivi...
Wakati wa kuanza kudai mahari ndiyo huu indeed wallahi....[emoji16][emoji16][emoji16]
Enheee... hapo bado sauti tu!
Excellent. Wanaume wanahesabiana hapo. Na akina mama wanaweza wasizione hizo pesa. Mzee hapo anaweza akazinywea zote au akaamua kuoa mke mwingine...bila shaka hiyo ni mahari, maana huku ndani ya Afrika yetu jinsia ya kike mara nyingi inawekwa mbali sana kwenye mambo kama haya
πππ Jamani
Unaongelea nini?Vipi unavyo vyote nini?
hapo tuu, ndo waafrika tulikwama.Excellent. Wanaume wanahesabiana hapo. Na akina mama wanaweza wasizione hizo pesa. Mzee hapo anaweza akazinywea zote au akaamua kuoa mke mwingine...