Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Twende tukaongelee huku nchi kavu leo...
Umenifanya mpaka nikagugo. Hufai...[emoji36][emoji36]Mi Sapiosexual [emoji6]
Not looks alone for me
Aisee una vigezo vingi Shemela ana vyote hivyo.Chura ya Mwanamme ya nini sasa?
Mambo yote mbele...
Eyes, kidevu, sauti, mikono.. etc😉
🤣🤣🤣Kidali poo hiko tayari
Sawa nimekuelewa MpendwaMwanaume hawezi kuwa na chura. Kuwa na chura ni sifa ya wanawake pekee...
Na huko ukweni kwako ndiko wanasifika huko kwa kuwa na brain za aina hiyo....kongaratyulesheni [emoji122][emoji122][emoji122]
Mbona vichache.. Vipo kwa majority I thinkAisee una vigezo vingi Shemela ana vyote hivyo.
Asalam alaykum[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asee
🤣🤣🤣 Hivo nna ukweni mie? 🏃♀️🏃♀️🏃♀️Na huko ukweni kwako ndiko wanasifika huko kwa kuwa na brain za aina hiyo....kongaratyulesheni [emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivo nna ukweni mie? [emoji2088][emoji2088][emoji2088]