capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Huko tayari wenyewe walishajiwahi hakuingiliki bro [emoji16][emoji16][emoji16]Mpeleke usukumani
Wengine (mf. Issa) walikuwa weusi tiii kuliko hata mimi...Wote wa kwenye vitabu
dah macho haya 😑😑😑
Black JesusWengine (mf. Issa) walikuwa weusi tiii kuliko hata mimi...
Black Mamba alipozini ilibidi anunue pete ya milioni 3 katika juhudi za kuokoa ndoa yake. Love and family is worth fighting for...sometimes....
Duh!Mpeleke usukumani
Silijibu hili sababu utakuja kulifukua tena in FyuchaMhhh [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kwa hiyo huna ukweni?
Wanasayansi (Forensic Anthropologists, Imaging...) wanaamini kuwa hii ndiyo ilikuwa rangi ya Wayahudi wakati wa Yesu. Na baada ya kukusanya mafuvu mamia kwa mamia ya watu walioishi wakati wake na kuunganisha sura zao, wanaamini Yesu pengine alikuwa na sura kama hii....Black Jesus
Nijibu faraghani [emoji16][emoji16][emoji16]Silijibu hili sababu utakuja kulifukua tena in Fyucha
Hii ina maana gani?Duh!