Ukishasoma usipojua nnachotaka uone utaniambia...
Weekend inaendaje huko?Sijambo mpendwa
Kashachomoa kujibu hilo swali bro,inabidi ubaki na kazi yako hii hiiSema bro...
Kuna swali nimemuuliza Fraggy hapo juu akinijibu naacha rasmi hii kazi ya utunza mafaili...
Halafu limbukeni sana yanii,Siyo wote. Kama vile Wahaya wote siyo mal_______ [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Unaona kuna mambo mazuri huko... soma vizuriiii mpaka mwisho 😁
Kuwazidi Wahaya? [emoji16][emoji16][emoji16]Halafu limbukeni sana yanii,
Wasuku wamepitiiza 😬 😬Kuwazidi Wahaya? [emoji16][emoji16][emoji16]
😁😁😁 Heh Poti umeibukia toka wapi hupitwi na ubuyuuPoti akikujibu unitag, please! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Nmesoma,.. nimevutiwa zaidi na hii😋Unaona kuna mambo mazuri huko... soma vizuriiii mpaka mwisho 😁
Ukitaka kujipima uzuri wa afya yako kamwe usijilinganishe na mgonjwa - hasa kama unaamini kuwa afya yako ni nzuri kwa asilimia 100.Wasuku wamepitiiza [emoji51] [emoji51]
Ukitoa jibu tu anatoka kwenye UGUMU.[emoji16][emoji16][emoji16] Heh Poti umeibukia toka wapi hupitwi na ubuyuu