Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Awali ilidaiwa kwamba Barca wanaweza kuweka nguvu yao kwenye usajili wa Neymar na kuwaachia PSG nafasi ya kumnasa Griezmann kwenda kuziba pengo la Mbrazili huyo huko Paris, lakini kumekuwa na taarifa mpya kwamba wababe hao wa Nou Camp wanataka kubeba masupastaa wote hao.
 
Hata hivyo, mpango wa kuwanasa wakali hao kwa pamoja kutategemea na namba ambavyo timu hiyo itakavyopiga bei mastaa wake Ivan Rakitic, Philippe Coutinho na Ousmane Dembele, ambao wote wamedaiwa kwamba wapo sokoni kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi huko Ulaya.
 
Ukitaka kujipima uzuri wa afya yako kamwe usijilinganishe na mgonjwa - hasa kama unaamini kuwa afya yako ni nzuri kwa asilimia 100.

They teach this in Logic 101 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nadhani ujumbe huu ni wako Bro, nmejilinganisha na wasuku wapi? 😃
 
Hivi karibuni, kwenye fainali ya Uefa Nations League baina ya Ureno na Uholanzi kuripotiwa kwamba supastaa Cristiano Ronaldo, anayekipiga kwenye kikosi cha Juventus alimshauri beki huyo kinda kwenda kujiunga na wababe hao wa Italia, ambao kuanzia msimu unao watakuwa chini ya kocha Maurizio Sarri.
 
Back
Top Bottom