Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kaadimika wapi? Hapa kwenye uzi ama?Numbisa, umeadimika kama mizizi ya jiwe, kulikoni? [emoji1]
Washamba 🚶♂️ 🚶♂️
Siyo wote. Kama vile Wahaya wote siyo mal_______ [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Halafu limbukeni sana yanii,
Kuwazidi Wahaya? [emoji16][emoji16][emoji16]
Wasuku wamepitiiza 😬 😬
Jamani jamani take it easy na huu utani..Ukitaka kujipima uzuri wa afya yako kamwe usijilinganishe na mgonjwa - hasa kama unaamini kuwa afya yako ni nzuri kwa asilimia 100.
They teach this in Logic 101 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Kwahiyo nisikuambie?[emoji23][emoji23][emoji23]... Hapana walahi! Nimeotesha mizizi kwenye UGUMU!
Kaadimika wapi? Hapa kwenye uzi ama?
Mbali na break fupi fupi za hapa na pale mbona yupo?
Tumeshamaliza zamani mbona? [emoji16][emoji16][emoji16]Jamani jamani take it easy na huu utani..
Kwahiyo nisikuambie?
Kwahiyo nisikuambie?
Huu utani upo tuu,Jamani jamani take it easy na huu utani..
Ntakuambia ... sio hapa lakiniKuniambia ruksa bana! [emoji1][emoji1]
Shemeji eeehHuu utani upo tuu,
Wasuku ni shemeji zangu hawa.
Nini ulitaka nione kule? Ama nimeona tayariShemeji eeeh