capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
O ooh
Ustaarabu uwepo unakuta jitu nafasi ipo hasogei.Usafiri wenyewe wa kubanana huu watu wafanyeje jamani?
Nilishaishuhudia hiyo. Binti akiwa na msambwanda basi unaona jitu linajisogeza kabisa...Ustaarabu uwepo unakuta jitu nafasi ipo hasogei.
Inasikitisha ni ugonjwa wa akili.Nilishaishuhudia hiyo. Binti akiwa na msambwanda basi unaona jitu linajisogeza kabisa...
kijijini tunatafuta fedha mjini tunatafuta makalioIpe maelezo hii picha..
Nakazia mkuukijijini tunatafuta fedha mjini tunatafuta makalio
weka na nanga jahazi lisizameNakazia mkuu
Asante kwa kunikumbusha Mpendwaweka na nanga jahazi lisizame
Same story karibu Afrika nzima !!!
View attachment 1134896