Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Stay true to yourself
udogoni kwetu tulikuwa tumempa jina la adui macho
unajua kwenye mechi ya ureno na holland cristiano ronaldo alimwambia de ligt aende juventus bwana mdogo akaishia kucheka.Lakini, sasa kinachoelezwa ni kwamba Juventus wameonekana kushinda vita hiyo ambapo wamedaiwa watambeba De Ligt kwa dau la Pauni 62 milioni na kumaliza utata wote wa beki hiyo atakwenda wapi kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi.
baadhi ya nyakati mpaka inafikia hatua unahoji maamuzi ya mungu kwa nini alimuumba mamba?Hii ni dunia ya wababe !!!
View attachment 1134838
Hiyo siijui Bro? Dada etu hajambo?udogoni kwetu tulikuwa tumempa jina la adui macho
mwache aendelee kupumzika kwa amani huko aliko
amrish puri
hivi ile style yake ya nywele aliyoweka kwenye filamu ya loha alishawahi kutokezea mwanamume wa kinondoni kunyoa?
yupi ninao wengiHiyo siijui Bro? Dada etu hajambo?
Wakiamka wasalimie,yupi ninao wengi
hawajambo na wameshalala
nitafanya hivyo:Wakiamka wasalimie,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Same story karibu Afrika nzima !!!
View attachment 1134896
Vipo vitabu vingi sana online, ama unataka recommendation?nitafanya hivyo:
nje ya mada:
nawezaje kupata kitabu cha visual basic programming kilichoandikwa na deittel brothers au chochote?