capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
[emoji3][emoji3] sijui ndio hiki changu, tupia cover lake hebu, ngoja kwanza mhusika wa kiume ni Harry?Nimesoma hiki kitabu 'THINGS MEN DO' Niko page ya 3 lakin sina maneno ya kuwaambia....tupiamo email yako utanishukuru baada ya kusoma. Note: Kitabu kinagusa jinsia zote waaume kwa waawake. Asanteni.
Cha James Hadley Chase?Nimesoma hiki kitabu 'THINGS MEN DO' Niko page ya 3 lakin sina maneno ya kuwaambia....tupiamo email yako utanishukuru baada ya kusoma. Note: Kitabu kinagusa jinsia zote waaume kwa waawake. Asanteni.
Hapana,[emoji3][emoji3] sijui ndio hiki changu, tupia cover lake hebu, ngoja kwanza mhusika wa kiume ni Harry?
Sinaga mzuka wa kusoma soft copy, siwezi kabisa yaniHapana,
e-mail tafadhali,
Wewe unazungumzia nilichonacho mimiCha James Hadley Chase?
NdiwooCha James Hadley Chase?
Kina itwaje?Wewe unazungumzia nilichonacho mimi
Heee basi vipo vingiNdiwoo
Maana vitabu hivi vya JHC nimevisoma vyote na kurudia vingine mara mbili tatu...Wewe unazungumzia nilichonacho mimi
Kina itwaje?
Wewe ulikuwa unataka emails tu! Nnavyokuogopa Hacker wewe!Ndiwoo
Hee ulikuwa na rahaje, mimi nilikinunua pale Ubungo vile wanavyotandika chiniMaana vitabu hivi vya JHC nimevisoma vyote na kurudia vingine mara mbili tatu...
Tulikuwa na collection home..
Unapenda kusoma vitabu? Nataka nikukaribishe kwa Library yangu.The Things Man Do
[emoji3][emoji3] ukiwa na mume kama huyu hakikisha unakuwa mwaminifu kwa 100% la sivyo.....Wewe ulikuwa unataka emails tu! Nnavyokuogopa Hacker wewe!
Yaani stori zake nzuri sana..Hee ulikuwa na rahaje, mimi nilikinunua pale Ubungo vile wanavyotandika chini
Yeah napenda sana japo siku hizi nimepunguza sanaUnapenda kusoma vitabu? Nataka nikukaribishe kwa Library yangu.