Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na wengi wakamkebehi,ila sasa ndoto zimetimia
lakini bado ni gossip (uvumi)
sky sports siwaamini kwa asilimia kubwa sana siku hizi
ngoja tuone
nawaonea huruma barcelona miaka miwili ijayo watakuja kumnunua kwa euro millioni 100.
barcelona wamekuwa hawana tofauti na manchester united ya nyakati hzi, wote wamekusanya used player na hawauziki matokeo yake inawawia vigumu kuingia sokoni kwa ajili ya mauzo na manunuzi.

hakuna anayemtaka samuel umtiti
hakuna anayemtaka vermaelen thomas
hakuna aliye tayari kulipa euro millioni 60 kwa ajili ya ivan rakitic mwenye miaka 31 (hata wachina tambi wamegoma)
hakuna aliyetayari kuvunja benki kwa ajili ya phelipe coutinho
wote hao mishahara yao pia ni mikubwa bila ya kusahau release clause ni kubwa
wanamhitaji antoinne griezman au neymar pamoja na de ligt.
huwezi kununua bila ya kuuza kinyume chake utatengeneza hasara.

madrid wanakula raha msimu huu kwa sababu miaka takribani mitano wametumia wastani wa euro millioni 400 ukiachana na matumzi ya mwaka huu kama nipo sahihi, bila ya kusahau msimu uliopita walimuuza ronaldo na fedha yake hawakuifanyia matumizi ndio maana jeuri yao ya matumizi imeongezeka.

ina maana ukiondoa hesabu za matumizi ya mwaka huu real madrid wameuza wachezaji wenye thamani ya 421.7 million euros, kwa hesabu za haraka madrid wametengeneza faida ya euro millioni 18.

papa perez anajua kutumia vile vile anafahamu vizuri biashara ya kuuza wachezaji kwa bei nzuri
 
D9lAbNAXsAA_Bql.jpg
 
waafrika hatuibi machapisho bali tunachukua tu kwa muda
Mwalimu Nyerere alivyomtetea Karume Accra
imeandikwa Mei 11/2017 na ahmed rajab:

KATIKA mwezi wa Machi hali ya hewa jijini Accra, Ghana, huwa inaudhi bila ya kiasi kwa joto linavyokuwa kali. Jioni ndipo huzidi kushtadi. Nadra mvua kunyesha.

Siku moja Machi 1958, saa za Magharibi, wakombozi wawili wa Kiafrika walikaa, glasi mkononi, wakipunga upepo kwenye baraza ya hoteli ya Avenada, iliyokuwa ikimilikiwa na Mgiriki.
 
Upande mmoja alikuwa Sheikh Ali Muhsin Barwani kutoka Zanzibar na aliyemkabili alikuwa Mwalimu Julius Nyerere kutoka Tanganyika. Nyerere alikuwa rais wa chama kikuu cha Tanganyika cha kupigania uhuru, Tanganyika African National Union (TANU) na Barwani, akitambulika kuwa kiongozi wa Zanzibar Nationalist Party (maarufu Hizbu) ingawa hakuwa na wadhifa maalum katika chama hicho.
 
Back
Top Bottom