D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Nitataka nikutembelee siku moja, nikaribishe tafadhali,.Sawa
Madrid pesa nyingi katumia kwenye kukarabati uwanja na pia msimu huu hawakua na mpango wa kusajili. Mipango yao ilikua kupandisha wachezaji toka timu B wakisema wamejitosheleza ila vipigo mfululizo na kutemeshwa mataji yote vilimuweka pabaya perez mpaka kufikia hatua ya kumshawishi zidane arudi wakati sio kawaida yake.lakini bado ni gossip (uvumi)
sky sports siwaamini kwa asilimia kubwa sana siku hizi
ngoja tuone
nawaonea huruma barcelona miaka miwili ijayo watakuja kumnunua kwa euro millioni 100.
barcelona wamekuwa hawana tofauti na manchester united ya nyakati hzi, wote wamekusanya used player na hawauziki matokeo yake inawawia vigumu kuingia sokoni kwa ajili ya mauzo na manunuzi.
hakuna anayemtaka samuel umtiti
hakuna anayemtaka vermaelen thomas
hakuna aliye tayari kulipa euro millioni 60 kwa ajili ya ivan rakitic mwenye miaka 31 (hata wachina tambi wamegoma)
hakuna aliyetayari kuvunja benki kwa ajili ya phelipe coutinho
wote hao mishahara yao pia ni mikubwa bila ya kusahau release clause ni kubwa
wanamhitaji antoinne griezman au neymar pamoja na de ligt.
huwezi kununua bila ya kuuza kinyume chake utatengeneza hasara.
madrid wanakula raha msimu huu kwa sababu miaka takribani mitano wametumia wastani wa euro millioni 400 ukiachana na matumzi ya mwaka huu kama nipo sahihi, bila ya kusahau msimu uliopita walimuuza ronaldo na fedha yake hawakuifanyia matumizi ndio maana jeuri yao ya matumizi imeongezeka.
ina maana ukiondoa hesabu za matumizi ya mwaka huu real madrid wameuza wachezaji wenye thamani ya 421.7 million euros, kwa hesabu za haraka madrid wametengeneza faida ya euro millioni 18.
papa perez anajua kutumia vile vile anafahamu vizuri biashara ya kuuza wachezaji kwa bei nzuri
KaribuNitataka nikutembelee siku moja, nakaribishwa?
ShikamooWakati huo, Hizbu kilikuwa chama pekee kilichokuwa kikipigania uhuru wa Zanzibar. Chama kingine kikuu, cha Afro-Shirazi Party (ASP), kilikuwa kikipinga Zanzibar isipewe uhuru. Ilifika hadi hata Waingereza walipokubali pafanywe uchaguzi Zanzibar, chama cha ASP kilipinga. Uchaguzi huo ulikuwa wa mwanzo katika Afrika ya Mashariki, ya Kati na kusini mwa Afrika,
teh teh teh marahaba mjukuu wangu,Shikamoo
Kinachopatikana hukoAhsante,
Nikuje na nini huko?
Kinachopatikana huko
Hata sifahamu, utanifundishaNapenda kahawa, nitakuja nayo.
Unajua kuandaa kahawa?
Sawa! Chapati Je?Hata sifahamu, utanifundisha