BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Katika hali isiyokuwa ya kwaida, jana, Wafanyabiashara wa maduka katika jiji la Arusha, walifunga maduka yao, na kisha kuandamana hadi kwa Mkurugenzi wa jijini humo, kushinikiza kuondolewa kwa makundi ya machinga wanaopanga biashara mbele ya maduka yao, hali inayopelekea wao kukosa wateja.
lakini pia machinga hao walisikika wakisema kuwa wao ni NYARA ZA SERIKALI HAWAGUSIKI!
#KwanzaHabari
lakini pia machinga hao walisikika wakisema kuwa wao ni NYARA ZA SERIKALI HAWAGUSIKI!
#KwanzaHabari