ArtworkUmeona nini?View attachment 1135385
Duh!!!Mwanaume kula kula bhana, mwili lazima ujengeke[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]View attachment 1136191
Loh! Salaleee...
Sawa!!Karibu uchaganiView attachment 1136250
He!!!Endesha kamanda. Nyumbani si mtafika? Mchecheto wa nini?
View attachment 1136419
[emoji23][emoji23] eti nyara za serikaliKatika hali isiyokuwa ya kwaida, jana, Wafanyabiashara wa maduka katika jiji la Arusha, walifunga maduka yao, na kisha kuandamana hadi kwa Mkurugenzi wa jijini humo, kushinikiza kuondolewa kwa makundi ya machinga wanaopanga biashara mbele ya maduka yao, hali inayopelekea wao kukosa wateja.
lakini pia machinga hao walisikika wakisema kuwa wao ni NYARA ZA SERIKALI HAWAGUSIKI!
#KwanzaHabari
[emoji818][emoji818]Pia alisema korosho zina madini yakiwamo ya zinki ambayo husaidia kuponyesha vidonda haraka na kusaidia ukuaji mzuri wa watoto tumboni kwa wajawazito.
[emoji818][emoji818]Before Nelson Mandela left prison he said "As I stand before the door to my freedom, I realise that if I do not leave my pain, anger and bitterness behind me, I will still be in prison".
Self imprisonment is worse than that imposed. How many are in self inflicted pains today for lack of forgiveness. How many of us have imprisoned ourselves inside the walls of anger and bitterness.
Holding grudges does not make you strong, it makes you bitter. Forgiveness does not make you weak, it sets you free.
18:49
Tuombe,tuwaombee Taifa Stars Wanacheza leo bwana
Kipofu kaona mwezi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1136260